Acha masihara bana hizo ndopicha za mil 25??Sifa za Nyumba:-
Sifa za kiwanja:-
- Nyumba ina Ofa
- Plot No. 104 Block-DD
- Nyumba ina vyumba vitatu na sebule tatu
- Ina Maji
BEI Ni TSHS, 25,000,000/= (Million 25).
- High Density
- Measuring 684 Square Meters
- Eneo liko karibu na barabara mtaa wa Ngokolo Mapinduzi - SHINYANGA MANISPAA
Nakukaribisha sana kwa Maelewano zaidi.
CONTACTS:- 0717-020751
0765-121003
0622-244931
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu jamaa anautani na 25M etiAcha masihara bana hizo ndopicha za mil 25??
Huzuiwi kushea unachofikiria wewe, ukiona inafaa nitaftie mtejaDuuuuuuuhhhhh, nyumba hujajenga wewe kwanini uwake tamaa ya pesa nyungi.
Sijalijua vizuri eneo hilo ila hiyo nyumba haina ubora, pia Shinyanga hapajastawi sana.
25 milions si mchezo kwa maisha ya kitanzania.
tena ngokolo,high density approximately 20+metres by 30metres, ongeza matope,walevi wa mitaa hiyo mmmhKwa shinyanga hiyo nyumba labda uuze mil 7