[emoji2518] Ina vyumba vitatu kimoja ni master, sebule, public toilet,
[emoji312] Kiwanja cha nyuma kilichobaki 15 kwa 23, unaweza kujenga nyumba nyingine kubwa kama hii au zaidi.
[emoji2520] Eneo la mbele lililobaki 15 kwa 8 hivyo unaweza jenga apartment za maduka sababu imeangalia barabara ya mtaa na ukapata parking [emoji594]🛻[emoji604][emoji598]