Weka Bei ya mwezi na kama ni mwaka au miezi 6?Nyumba ipo Boko kituo cha chama au CCM, nyuma ya kanisa katoliki. Nyumba nzuri ndani ya wigo wenye waya za usalama, geti la kupendeza. Nyumba ina vyumba 4, one master bedroom, good parking lot for 3 cars. Nyumba ipo barabarani dakika 7 toka kituo cha daladala Chama/CCM Boko.
Kama unahitaji nyumba ya kupanga, first come first serve 0715 966693.
Natanguliza shukurani.
Weka Bei ya mwezi na kama ni mwaka au miezi 6?
Nyumba ipo Boko kituo cha chama au CCM, nyuma ya kanisa katoliki. Nyumba nzuri ndani ya wigo wenye waya za usalama, geti la kupendeza. Nyumba ina vyumba 4, one master bedroom, good parking lot for 3 cars. Nyumba ipo barabarani dakika 7 toka kituo cha daladala Chama/CCM Boko.
Kama unahitaji nyumba ya kupanga, first come first serve 0715 966693.
Natanguliza shukurani.
Picha hazifunguki bro.
Acha ujanja ujanja, taja bei.tafadhali ningependa tuwasiliane kwa njia ya simu. number ipo hapo 24/7.
Asante.
Taja bei ili tuwone kama tutawez kuwasiliana au LA?tafadhali ningependa tuwasiliane kwa njia ya simu. number ipo hapo 24/7.
Asante.
Nyumba ipo Boko kituo cha chama au CCM, nyuma ya kanisa katoliki. Nyumba nzuri ndani ya wigo wenye waya za usalama, geti la kupendeza. Nyumba ina vyumba 4, one master bedroom, good parking lot for 3 cars. Nyumba ipo barabarani dakika 7 toka kituo cha daladala Chama/CCM Boko.
Kama unahitaji nyumba ya kupanga, first come first serve 0715 966693.
Natanguliza shukurani.
Acha ujanja ujanja, taja bei.
Taja bei ili tuwone kama tutawez kuwasiliana au LA?
Wapendwa ! bei ni maelewano ndio sababu naomba mnipigie simu, sidhani kama tutashindwana kama kweli umedhamilia.
Natanguliza shukurani.