KISS 100
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 528
- 1,120
Salamu.
Nipo likizo huku Usangi Kilimanjaro milimani Huku.
Nikiwa nyumbani hapa Ngujini nasikia tangazo la speaker.
Nyumba ya Bwana Omari Iddi iliyopo Ngujini na Vudoi Mwanga mjini vitapigwa mnada tarehe 30/12/23.
Frem ya Duka lipo stoo Mombasa vinauzwa.
Nimejifunza kitu hapa, Nmb wakipita kuhamasisha mikopo wapole kweli.
Ukishindwa kurejesha wanakutangaza na vipaza sauti mitaa yote.