Unapoweka bond nyumba huwa unafikiri ni Kwa ajili gani?Salamu.Nipo likizo.hiku Usangi Kilimanjaro milimani Huku.Nikiwa nyumbani hapa Ngujini nasikia tangazo la speaker.
Nyumba ya Bwana Omari Iddi iliyopo Ngujini na Vudoi Mwanga mjini vitapigwa mnada tarehe 30/12/23.
Frem ya Duka lipo stoo Mombasa vinauzwa.
Nimejifunza kitu hapa,Nmb wakipita kuhamasisha mikopo wapole kweli.
Ukishindwa kurejesha wanakutangaza na vipaza sauti mitaa yote.
😀😅😅😄😅Sijuii Ujasiri Wanaupata WapiUnapoweka bond nyumba huwa unafikiri ni Kwa ajili gani?
benk uliona wapi wakipita kutangaza mikopoSalamu.Nipo likizo.hiku Usangi Kilimanjaro milimani Huku.Nikiwa nyumbani hapa Ngujini nasikia tangazo la speaker.
Nyumba ya Bwana Omari Iddi iliyopo Ngujini na Vudoi Mwanga mjini vitapigwa mnada tarehe 30/12/23.
Frem ya Duka lipo stoo Mombasa vinauzwa.
Nimejifunza kitu hapa,Nmb wakipita kuhamasisha mikopo wapole kweli.
Ukishindwa kurejesha wanakutangaza na vipaza sauti mitaa yote.
Mkuu upo?😀😅😅😄😅Sijuii Ujasiri Wanaupata Wapi
[emoji23][emoji23][emoji23]Salamu.Nipo likizo.hiku Usangi Kilimanjaro milimani Huku.Nikiwa nyumbani hapa Ngujini nasikia tangazo la speaker.
Nyumba ya Bwana Omari Iddi iliyopo Ngujini na Vudoi Mwanga mjini vitapigwa mnada tarehe 30/12/23.
Frem ya Duka lipo stoo Mombasa vinauzwa.
Nimejifunza kitu hapa,Nmb wakipita kuhamasisha mikopo wapole kweli.
Ukishindwa kurejesha wanakutangaza na vipaza sauti mitaa yote.
Utajua hujui[emoji23]Nilitaka nijilipue na mshiko Fasta hapa ili sikukuu ikae vizuri, masharti yote yameandikwa kwa kiingereza isipokuwa kipengere cha kuidhinisha ndo wameweka kwa kiswahili[emoji1787],nmeshtuka nimeachana nao.
Hawakuaibishi bali wanatangazia wateja wa mnada. Unajua maana ya mnada? Bila wanunuzi kuwa wengi mnada utafeli. Na wanunuzi hawawezi kuota tu kuna nyumba inauzwa bila kuambiwa kwa matangazo. Nilichojifunza mimi ni kuwa watanzania wengi hawajui maana ya kuweka nyumba bond unapochukuwa mkopo.Ndio wanakuaibisha namna hiyo
Ahahahah😂😂😂😂😂😂
Nyumba zinazouzwa baada ya mtu kushindwa kulipa mkopo hapana kwakweli! Unakaa ndani usiku upo na mkeo, unasikia mtoto anacheka bafuni na wakati hamna mtoto.
Upo ndani peke yako ila unahisi umepishana na mtu kabisa wakati unaenda chumbani.
Hahaha 😃Nilitaka nijilipue na mshiko Fasta hapa ili sikukuu ikae vizuri, masharti yote yameandikwa kwa kiingereza isipokuwa kipengere cha kuidhinisha ndo wameweka kwa kiswahili🤣,nmeshtuka nimeachana nao.
Huu ni uongo. SIyo kweli. Kwani mnunuzi ana kosa gani? Nawajua watu wengi tu walionunua nyumba za aina hiyo na wanaishi vizuri kabisa. Hii imani ya kijinga kabisa imebuniwa na wadaiwa sugu ili kuwatisha wanunuzi wa nyumba za aina hii.