leonard ngobole
Member
- Jun 11, 2011
- 82
- 46
Yes mkuu...Tafadhali una michoro yake ya:
1. Archtectural drawings
2. Structural design?
Ghorofa jambo la muhimu ni kujua nini kilifanyika wakati wa ujenzi.
Binginevyo bei sio mbaya mkuu
Karibu bosi...Kikwetu kabla ya kununua nyumba sharti ulale humo...kama hakuna maruwe ruwe na uzingizi wa mang'amung'amu au uzingizi kupaa and popobawaz .....tunamalizana fresh....vinginevyo turuhusu tuje piga maombi ya mkesha.
Sio lazima ulaleKikwetu kabla ya kununua nyumba sharti ulale humo...kama hakuna maruwe ruwe na uzingizi wa mang'amung'amu au uzingizi kupaa and popobawaz .....tunamalizana fresh....vinginevyo turuhusu tuje piga maombi ya mkesha.
Yes mkuu...
Vyote ulivyovitaja hapo juu vipo...
Karibu sana
Mkuu siyo kikwenu tu,hata watu weupe hulala kwanza kwenye nyumba mpya kabla hajailipia.Kikwetu kabla ya kununua nyumba sharti ulale humo...kama hakuna maruwe ruwe na uzingizi wa mang'amung'amu au uzingizi kupaa and popobawaz .....tunamalizana fresh....vinginevyo turuhusu tuje piga maombi ya mkesha.