House4Sale Nyumba hii inauzwa ipo mjini Chanika Mwisho stendi Dar es Salaam kwa million 30

Joined
Sep 11, 2020
Posts
52
Reaction score
22
Kwa mhitaji wa nyumba hii njoo chapu ufunge mwaka vizuri:+255 6 28 00 82 18/+255 7 54 90 80 45.

Kwa tshg million 30,000,000/=

Nyumba hii ina vyumba vitatu 3 vya kulala chumba kimoja master dining room public toilet jiko stoo na sitting room pia umeme upo maji yapo huduma zote za kijamii zinapatikana karibu.

Ukubwa wa eneo sqm 400.

Umiliki hati ya makabidhiano ni ya ofisi ya serikali ya mtaa.

Wote mnakaribishwa sana bado ipo


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…