Ina vyumba vinne Na Sebule
Iko Mwemberadu km 2 toka Ferry
Ina umeme na tiles
Bei tsh milioni 28
Unaweza ifanya hostel, kwani kuna wanafunzi wengi wa chuo wanahitaji maeneo ya karibu na ferry
______________________________
Nakapokea Na kutangaza Bure matamgazo ya nyumba,viwanja, mashamba ,magari n.k
Mkuu vipi hutaki tubadilishane kwa gari..nikupe bus rosa eingine 4d33 .inabeba watu 26..ya mwaka 2000..lakini sio high roof.haijatumika ipo zenji.. gharama yake 35m lakini nitakubali tubadiishane hiyo nyumba..