Mshasha wane
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 234
- 633
Wakuu habarini za muda huu, samahanini kwa usumbufu ila naomba kujua nyumba hii kwa wastani inaweza kuchukua bati ngapi za msauzi maana nimesimama kutokana na kutokujua idadi kamili. Nyumba ipo mkoani Mara na bati zinatakiwa kutoka Dar sasa naogopa nisije peleka bati ndogo ikawa usumbufu.