Nyumba hii kwa wastani inaweza kuchukua bati ngapi?

Mshasha wane

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
234
Reaction score
633
Wakuu habarini za muda huu, samahanini kwa usumbufu ila naomba kujua nyumba hii kwa wastani inaweza kuchukua bati ngapi za msauzi maana nimesimama kutokana na kutokujua idadi kamili. Nyumba ipo mkoani Mara na bati zinatakiwa kutoka Dar sasa naogopa nisije peleka bati ndogo ikawa usumbufu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…