Nyumba iinahitajika haraka kwa ajiri ya kupangishwa.

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
Iwe pembezoni kama si karibu na barabara ya Old Bagamoyo Road basi mita chache kutoka katika barabara hii ( eneo la Mikocheni hadi whitesands, Jangwani Sea Breeze, Beach comber na Berinda) Iwe mpya. iwe na vyumba vya kulala vitatu , (sifa ya nyongeza) vyumba vyote vitatu viwe self conatained. Fenced. Iwe furnished. Iwe na standby generator. Iwe na Swimming pool(si lazima sana), Ikiwa unayo nyumba kama hiyo piga simu haraka sana. 0717114409 au 0755312233.
 
Nyumba iko Tegeta, haina swimming pool tu. Kila chumba kina AC na Feni, in addition kuna study room, parking ya gari 2. Ongea utatoa bei gani na kwa muda gani.
 
AC tu au self contained room zote? Toa bei inayolingana na thamani ya hiyo nyumba. Nitumie picha zake tafadhari
 
Bei rahisi sana, Tshs 1,500,000 kwa mwezi. Room zote self contained. Sina picha hapa nilipo. Kama vipi waweza kwenda iona, napatikana jumapili tu.
 
Back
Top Bottom