House4Sale Nyumba ilioezekwa nusu inauzwa, Kibaha mjini

House4Sale Nyumba ilioezekwa nusu inauzwa, Kibaha mjini

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari wakuu,

Nyumba inauzwa , mahali ilipo ni ni miembe saba, Kibaha mjini , ni nyuma ya tatu toka sheli ya panone , opposite kiwanda cha kusindika chakula cha kuku na binadamu cha Energy.

Sifa zake:
1. Eneo kubwa la uwanja limebaki kiasi cha miguu 20 kwa 70

2.Kuna vyumba vinne vyote vikiwa ni master bed room

3. Kuna frem nne za biashara zinaangalia barabara ya Morogoro

4.Nusu nzima ya nyumba imeezekwa, nusu bado

5. Bei nafuu isiyozidi milioni 40

Piga 0713039875
Kwa maelezo zaidi

WhatsApp Image 2020-04-06 at 7.08.21 AM (2).jpeg
WhatsApp Image 2020-04-06 at 7.08.19 AM.jpeg
WhatsApp Image 2020-04-06 at 7.08.21 AM (2).jpeg
WhatsApp Image 2020-04-06 at 7.08.19 AM.jpeg
WhatsApp Image 2020-04-06 at 7.08.20 AM.jpeg
WhatsApp Image 2020-04-06 at 7.08.21 AM.jpeg
WhatsApp Image 2020-04-06 at 7.08.19 AM (2).jpeg
 
Jombaa unacheza na 40M? Yaani pagala tena lipo Kibaha miembe saba uuze kwa 40M,serious?
Ikiuza kwa bei hiyo njoo uchukue 1M ya nyongeza.
 
Hayo mabanda nitoe m40 hapana aisee hiyo kama nitanunua sana hazidi m15
 
Acha umama mzee 40m seriously

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu unajua hiyo milioni 40, kwa hapa dar es salaam mtu ananunua kiwanja Goba, na anaanza ujenzi na kufika hapo nyumba ilipofikia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Habari wakuu,

Nyumba inauzwa , mahali ilipo ni ni miembe saba, Kibaha mjini , ni nyuma ya tatu toka sheli ya panone , opposite kiwanda cha kusindika chakula cha kuku na binadamu cha Energy.

Sifa zake:
1. Eneo kubwa la uwanja limebaki kiasi cha miguu 20 kwa 70

2.Kuna vyumba vinne vyote vikiwa ni master bed room

3. Kuna frem nne za biashara zinaangalia barabara ya Morogoro

4.Nusu nzima ya nyumba imeezekwa, nusu bado

5. Bei nafuu isiyozidi milioni 40

Piga 0713039875
Kwa maelezo zaidi

View attachment 1410531View attachment 1410532View attachment 1410531View attachment 1410532View attachment 1410533View attachment 1410534View attachment 1410536
 
Back
Top Bottom