Mr pinkmoja
Member
- Sep 17, 2019
- 10
- 14
Hiyo ezeka haraka vinginevyo mvua ikija utajua hujui.Nyumba hii ni ya tope yenye jumla ya vyumba sita linta yake ina mbao lakini inauwezo wa kuhimili paa la kisasa.
Laki nne ni ya fundi tuMatofali ya kuchoma unaposema laki nne unatudanganya