House4Sale Nyumba iliyo hatua za mwisho kumalizika inauzwa kgambon.

House4Sale Nyumba iliyo hatua za mwisho kumalizika inauzwa kgambon.

choupa moting

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,508
Reaction score
2,563
Habarini za asubuh wadau, kuna nyuma inauzwa kigambon kata ya mji mwema eneo la kibugumo. Ni nyumba ambayo ipo ktika hatua za mwisho kumalizika. Kuna mambo ya yametokea kunahitajika pesa ya haraka ndio sabab inauzwa. Nyumba ina vyumba vitatu kimoja kikiwa master, sitting room, study room, dining na jiko. Ipo kwenye kiwanja cha square meter 800.
Kiwanja kimepimwa bado kupata hati tu na ukinunua au kutaka kununua unafanyia utaratib wa hati na mwenye nyumba ili kukukabidhi kitu ambacho kiko sawa.
Iko kwenye umbali wa takriban mita 150 kutoka main road.
Bei ni milion 45 ila maongez yapo.
25bcc5b3-4e88-4459-bd2e-a89e2d8b4908.jpg
c8d4eadb-9d07-4693-aa88-391c38cf291f.jpg
5246bee6-09a3-4683-bd90-11c26cc50ed0.jpg

a19ab1b9-90ce-45ea-a2ab-f07bb0ba1930.jpg
bac07f45-74f7-469e-abda-a9072a5f4db2.jpg
3efac23f-6a2a-4e51-a3c9-9828466ccc34.jpg
76b13ff9-4711-4d80-87e1-48a887229287.jpg

Unaweza kunitafuta kwa namba 0746 757 894. Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom