Nyumba inahitajika

mkurugenzi1

Senior Member
Joined
Mar 22, 2009
Posts
122
Reaction score
28
Nyumba inahitajika haraka Tabata bima.

Kodi laki 150000 hadi 300000 kwa mwezi iwe na:-

  • uzio na paking.
  • mbali na baa.
  • barabara inayopitika kirahisi.
Natanguliza ahsante kwenu wana JF.
 
mkurugenzi kuna nyumba kama hiyo ipo magomeni inajengwa kama utakuwa na subra kama kwa wiki tatu hivi utaipata.
 
ukifika pale tabata bima,kata kushoto utakuta vibanda vya biashara.kuna dalali pale anaitwa FABITH!namba zake nitakupa ukizihitaji,lakini sio public
 
Nyumba inahitajika haraka Tabata bima.

Kodi laki 150000 hadi 300000 kwa mwezi iwe na:-

  • uzio na paking.
  • mbali na baa.
  • barabara inayopitika kirahisi.
Natanguliza ahsante kwenu wana JF.
hii ni nyumba au FLAT???,
anyway nadhani ulimaanisha LAKI MOJA NA NUSU hadi LAKI TATU!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…