Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 161
Wakuu mbona kimya?
Wakuu mbona kimya?
Mkuu, asante sana , ngoja niwa check!Kama unaaamini madalali chukua namba hizo. 0718500985 au 0714556716
Kazi kwako!
Mkuu, Tsh 60,0000 ndefu sana kwangu.....Asante kwa ushirikiano wako.Kuna nyumba mbezi beach (africana) Tshs laki 600000 kwa mwezi, kama vipi ni pm.
Mkuu, Tsh 60,0000 ndefu sana kwangu.....Asante kwa ushirikiano wako.
Ama, acha mambo ya kidalali nyumba ninayohitaji bei zake nimeweka hapo juu.unafika 450,000 unafika?
Ulisema hutachangia JF nakuahidi post zako zifutwe naona unajileta kimya kimya.
Hahahaha pole umepewa notice na mwenye nyumba lazima atakuwa mwana JF huyo endelea kukaa hotel napo pazuri tu.