MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Milion kumi, nenda mbande au mvutiNaitaji Nyumba ya kununua ofa ni milioni 10
Lazima iwe ndani ya mkoa wa Dar.
Maeneo ya Bondeni ❌
Piga simu usitume sms 0749979776
Naitaji Nyumba ya kununua ofa ni milioni 10
Lazima iwe ndani ya mkoa wa Dar.
Maeneo ya Bondeni ❌
Piga simu usitume sms 0749979776
Kikubwa iwe Dar mkuu nina kazi nayo kama unayo nipigie tufanye biasharaMilion kumi, nenda mbande au mvuti
Asante kwa ushauri mkuu 👍10 M kwa nyumba kama nyumba inaweza ikawa ngumu kupata! Ila Pagale au Hizi gari aina ya Vitz,Passo, IST n.k. ..tena ya Mkononi(Iliyotumika) unapata kbs...!
Tena uwe Makini, mtu akikwambia Pagale analiuza kwa 10M, chunguza kwanza kama hajalichukulia mkopo kwa dhamana ya Pagale..! Usiingie kichwa kichwa.