Nyumba inanuka harufu ya mzoga, Haikaliki, haipangishiki wala hainunuliki

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Je wajua?

Kwa mujibu wa BAKITA,mtu asiyekuwa na pahala pa kuishi huitwa GAREGARE!

Wakuu nipo Arusha au A town au Chuga kama wengi wenu mnavyopenda kupaita!,huwa nakuja angalau kupumzika mahali fulani na kila ninapokuja nimekuwa nikizunguka maeneo tofauti tofauti na kuonyeshwa mji na mwenyeji wangu

Kuna mahali tumefika jamaa akanionyesha Nyumba nzuri kweli (Bonge la mjengo) lisilokaliwa na mtu,nilipomuuliza kwanini mjengo mkali hivyo haukaliwi na watu,akaniambia hiyo Nyumba huu ni mwaka 15 inanuka vibaya kama mzoga!

Jamaa ananiambia hiyo nyumba Kuna bwana mmoja alikuwa huko Marekani,Kuna rafiki yake ambaye alikuwa akitumiwa pesa amjengee,yule bwana wa Marekani siku anakuja Arusha akakuta yule rafiki yake aliyekuwa akimtumia pesa ili amjengee hakuna chochote alichofanya na akamkana jamaa ya kwamba hujawahi nitumia pesa Kisha akamtimua!

Watu na majirani wakamtonya yule bwana wa Marekani ya kwamba, pesa zote alizokuwa akimtumia jamaa amejenga mijengo ya hatari na ikiwemo huo anaouishi!

Jamaa alilia sana na kushangazwa na huyo rafiki yake kwanini ameamua kumgeuka?,Inasemekana jamaa alienda huko Ujaluoni (Kenya) akafanya mambo ya kijadi,unaambiwa tangu siku hiyo watu waliokuwa wakiishi kwenye Nyumba hiyo walikimbia wenyewe kutoka na harufu Kali kama ya maiti na ajabu maiti haionekani,hiyo nyumba hainunuliki Wala haipangishiki,unaambiwa hata kuvunjwa haivunjiki!

Aiseee kama ndivyo Kuna watu ni mafia!

Jamaa aliyemdhurumu huyo bwana wa Marekani,unaambiwa hadi Leo ni zezeta yeye mkewe na wanae wote!

Kwa mujibu wa mwenyeji wangu,anasema jamaa wa Marekani wakati anaondoka alisema "Tutaona nani mjanja wa mji"

Jamaa akasepa zake mtoni hadi Leo unaambiwa hapatikani kwenye mawasiliano,Inasemekana ndugu jamaa na marafiki wanajaribu kumtafuta ili wamuombe radhi lakini hakuna namna!
 
1729856379629.png
 
Nipo mahali nakunywa ugimbi na shemeji yangu mmoja kutoka Ihangamtwa huko Mufindi ndani! Si nikamuonesha huu uzi wako! Basi amecheka kweli, halafu mwishoni amesema eti huo ni udesi! 😁
 
Je wajua?

Kwa mujibu wa BAKITA,mtu asiyekuwa na pahala pa kuishi huitwa GAREGARE!

Wakuu nipo Arusha au A town au Chuga kama wengi wenu mnavyopenda kupaita!,huwa nakuja angalau kupumzika mahali fulani na kila ninapokuja nimekuwa nikizunguka maeneo tofauti tofauti na kuonyeshwa mji na mwenyeji wangu

Kuna mahali tumefika jamaa akanionyesha Nyumba nzuri kweli (Bonge la mjengo) lisilokaliwa na mtu,nilipomuuliza kwanini mjengo mkali hivyo haukaliwi na watu,akaniambia hiyo Nyumba huu ni mwaka 15 inanuka vibaya kama mzoga!

Jamaa ananiambia hiyo nyumba Kuna bwana mmoja alikuwa huko Marekani,Kuna rafiki yake ambaye alikuwa akitumiwa pesa amjengee,yule bwana wa Marekani siku anakuja Arusha akakuta yule rafiki yake aliyekuwa akimtumia pesa ili amjengee hakuna chochote alichofanya na akamkana jamaa ya kwamba hujawahi nitumia pesa Kisha akamtimua!

Watu na majirani wakamtonya yule bwana wa Marekani ya kwamba, pesa zote alizokuwa akimtumia jamaa amejenga mijengo ya hatari na ikiwemo huo anaouishi!

Jamaa alilia sana na kushangazwa na huyo rafiki yake kwanini ameamua kumgeuka?,Inasemekana jamaa alienda huko Ujaluoni (Kenya) akafanya mambo ya kijadi,unaambiwa tangu siku hiyo watu waliokuwa wakiishi kwenye Nyumba hiyo walikimbia wenyewe kutoka na harufu Kali kama ya maiti na ajabu maiti haionekani,hiyo nyumba hainunuliki Wala haipangishiki,unaambiwa hata kuvunjwa haivunjiki!

Aiseee kama ndivyo Kuna watu ni mafia!

Jamaa aliyemdhurumu huyo bwana wa Marekani,unaambiwa hadi Leo ni zezeta yeye mkewe na wanae wote!

Kwa mujibu wa mwenyeji wangu,anasema jamaa wa Marekani wakati anaondoka alisema "Tutaona nani mjanja wa mji"

Jamaa akasepa zake mtoni hadi Leo unaambiwa hapatikani kwenye mawasiliano,Inasemekana ndugu jamaa na marafiki wanajaribu kumtafuta ili wamuombe radhi lakini hakuna namna!
Kama ni kweli huo mwizi kapata alichostahili.
 
Kwani kuipigapicha na kuweka hapa utageuka zezeta?
 
Back
Top Bottom