Fredrick SEBA
Member
- Aug 13, 2011
- 36
- 5
angalia waliorespond negatively then utajua ni kwa nini hatujapiga hatua!!!! coz' hata wao after 50 yrs hawajui kama wamegeukia kusi au mangharibi!!
Vanmedy ni sh laki na nusu (150,000/-) kwa mwezi
Vyumba 8 Duuh? Si ndo mwanzo wa ndugu kujaa,,,hapo labda upangishe vyumba sio nyumba
Ndo nyumba yangu ilivyo jamani na siwezi kuipangisha kwa vyumba kutokana na jinsi ilivyo ndo maana nimeipunguza bei
Vyumba 8 Duuh? Si ndo mwanzo wa ndugu kujaa,,,hapo labda upangishe vyumba sio nyumba