House4Rent Nyumba inapangishwa Banana Ukonga

House4Rent Nyumba inapangishwa Banana Ukonga

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,287
Reaction score
486
Banana Kitunda, Matembele ya kwanza kabla ya kuvuka Reli. 2.3kms toka Banana. 4.8kms from airport. 14.2kms toka City Centre.

Master Bedroom/Chumba cha Mgeni/Spacious Living Room/Public toilet/Kitchen/Separate Luku/Maji ya ku-share bili/Fenced/Ample parking/0.6km toka Lami/very close to Ukonga Magereza Garden and recreation/Kodi kwa mwezi Laki 2.6 X Miezi6. Ni sehemu tulivu na Mandhari yenye kuvutia.

Kuona Elfu 10. Ya udalali ya Mwezi Mmoja kama Desturi.


_*0712205540_*

5d8904dba1967889d987200b7780ecf1.jpg

IMG_4377.jpg

IMG_4383.jpg

IMG_4374.jpg
 
Kwenye choo cha kukaa hapo ndo kaharibu, Maradhi mengi ya ngozi na ya kuambukizana
 
Back
Top Bottom