House4Rent Nyumba inapangishwa Changanyikeni, karibu na UDSM

House4Rent Nyumba inapangishwa Changanyikeni, karibu na UDSM

Code Breaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
1,019
Reaction score
445
Nyumba ya vyumba viwili na sebule, choo/bafu na jiko.. Piga [HASHTAG]#255745632964[/HASHTAG]
 
Nyumba ya vyumba viwili na sebule, choo/bafu na jiko.. Piga [HASHTAG]#255745632964[/HASHTAG]
weka picha tafadhali, na bei pia
ikinifaa basi nitapanga ila kwa mkataba wa miezi 3 kotokana na hali ya maisha kwa sasa
 
300K/Month, ipo kwente hali nzuri, ni ya kisasa... Tiled, gypsum ceiling, aluminum windows...Kikubwa zaidi pametulia na sana...
 
Back
Top Bottom