House4Rent Nyumba inapangishwa Goba -Dar es salaam

gisindika

Member
Joined
Jun 9, 2019
Posts
17
Reaction score
12
Habari wadau
Kuna mdogo angu anapangisha nyumba ya vyumba vitatu vya kulala,sebule kubwa,choo cha public na master, dining na jiko.Nyumba inajitegemea iko peke yake iko goba center karibu na barabara ameshalipa kodi ya miezi sita imebaki miezi mitano amehamishwa kikazi mkoani.Anatafuta mtu wa kureplace kodi ni gharama ndgo tu ni urgent, Haina udalali kama uko interested Ni PM.
 
Laki 2 ila anaweza kupunguza sabbu anataka kuondoka
Mkuu na wengine. Naomba tujijengee utamaduni wa kuwa ''direct''! Haya mambo ya kusema bei ni kiasi fualni na inapungua huogopesha watu wengu na kuona kama ''wanapigwa''. Ni vizuri kuweka makadirio ya bei yako unayoona inafaa. Vinginevyo good luck na nadhani atapata mtu soon.
 
Habari wadau
Kuna mdogo angu anapangisha nyumba ya vyumba vitatu vya kulala,sebule kubwa,choo cha public na master, dining na jiko.Nyumba inajitegemea iko peke yake iko goba center karibu na barabara ameshalipa kodi ya miezi sita imebaki miezi mitano amehamishwa kikazi mkoani.Anatafuta mtu wa kureplace kodi ni gharama ndgo tu ni urgent, Haina udalali kama uko interested Ni PM.
Nipigie 0678884320 nione kesho.
 
Back
Top Bottom