Laki 2 ila anaweza kupunguza sabbu anataka kuondokaKodi shs ngapi kwa mwezi kaka
Basi acha natafuta nyumba kodi 150 . Maeneo haya ya goba 200 hapana kakaLaki 2 ila anaweza kupunguza sabbu anataka kuondoka
150 kwa muda ganiBasi acha natafuta nyumba kodi 150 . Maeneo haya ya goba 200 hapana kaka
Miezi sita mpaka 8 kama itawezekana150 kwa muda gani
Ni pmMiezi sita mpaka 8 kama itawezekana
Mkuu na wengine. Naomba tujijengee utamaduni wa kuwa ''direct''! Haya mambo ya kusema bei ni kiasi fualni na inapungua huogopesha watu wengu na kuona kama ''wanapigwa''. Ni vizuri kuweka makadirio ya bei yako unayoona inafaa. Vinginevyo good luck na nadhani atapata mtu soon.Laki 2 ila anaweza kupunguza sabbu anataka kuondoka
Nipigie 0678884320 nione kesho.Habari wadau
Kuna mdogo angu anapangisha nyumba ya vyumba vitatu vya kulala,sebule kubwa,choo cha public na master, dining na jiko.Nyumba inajitegemea iko peke yake iko goba center karibu na barabara ameshalipa kodi ya miezi sita imebaki miezi mitano amehamishwa kikazi mkoani.Anatafuta mtu wa kureplace kodi ni gharama ndgo tu ni urgent, Haina udalali kama uko interested Ni PM.