House4Rent Nyumba inapangishwa Goba

Pangodotcom

Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
11
Reaction score
3
NYUMBA INAPNGISHWA
Mahali: Goba center
Namba ya vyumba: nyumba ina vyumba vitatu(viwil self contained rooms), jiko, mahali pa kulia chakula na sebule
Umbali: Nyumba ipo Mita 500 kutoka barabara ya Goba road
Huduma: Nyumba ina luku na maji binafsi
Bei: 600,000
Mawasiliano: 0629615557
Case: 33A
Nb. Ndani ya nyumba kuna nyumba mbili na uwanja mkubwa mbele na nyuma.

 
Mjengo umetulia ngoja nikatumie link kamchepuko kangu kakipapenda ndakucheki nikafiche hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…