Nyumba inapangishwa ipo kahama buswelu manispaa ya Ilemela ipo pembezoni mwa barabara itokayo buswelu kwenda Ilalila, ina vyumba vitatu, viwili master, public toilet ya ndani na nje ,sitting room, dinning room, kitchen.
Bei shs 200,000 kwa mwezi kwa mawasiliano 0713131200