House4Rent Nyumba inapangishwa ipo kigamboni PC mikadi

the numb 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2020
Posts
1,562
Reaction score
2,902
Nyumba inapangishwa 150,000 sebule kubwa chumba na choo ndani kodi miezi 6
ndani ya uzio
ipo kigamboni mikadi kutoka main road mpk nyumba ilipo ni meter 70 ipo pembezoni mwa beach ya mikadi

IMG_6700.jpg

IMG_6697.jpg

IMG_6696.jpg

IMG_6695.jpg

IMG_6698.jpg
 
Jf wengi wauzao au kunadi bidhaa ni makuzi, huwezi fananisha jf na kupatana kwa upande wa biashara humu wengi watoto sijui au kutojitambua hata bidhaa zao zina mashaka nyingi.
 
Sure, kupatana watu wapo serious japo huko ukizubaa unapigwa au kuuziwa kitu kibovu au fake
 
Mbon ujuaji mwingi kwan ulilazimishwa si uende huko kupatana
 
Sure, kupatana watu wapo serious japo huko ukizubaa unapigwa au kuuziwa kitu kibovu au fake

Nimefanya biashara zaid kupatana. Jf utoto mwingi sana, kama huyo mtoa mada anasema picha za nje zimejifuta. Utadhani kamas limejifuta kwenye pua
 
Back
Top Bottom