House4Rent Nyumba inapangishwa ipo Tegeta kituo cha Namanga karibu na Rabininsia Memorial Hospital

House4Rent Nyumba inapangishwa ipo Tegeta kituo cha Namanga karibu na Rabininsia Memorial Hospital

TysonMasai

New Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
3
Reaction score
0
NYUMBA INAPANGISHWA
Nyumba Ina sebule, jiko, kabati, Choo na chumba kimoja.

Mahali: Tegeta kituo cha Namanga karibu na Rabininsia Memorial Hospital.

Huduma: Maji, luku binafsi, heater, DSTV na parking.

Umbali kutoka barabarani ni mita 600.

Bei: 250,000/=(miezi sita).

Mawasiliano: 0629615557.

IMG-20201207-WA0030.jpg
 
Back
Top Bottom