House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni(ghotofa)

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,079
Reaction score
2,152
Picha zinajieleza zaidi

Ina vyumba vitatu chini, viwili juu +parking + maji +umeme, kila chumba na choo chake, dining na sebule kubea,stoo na bustani

Ipo Kigamboni Kibada km 10 toka Ferry

Bei: dolla 700 (malipo miezi 6 n.k)
Ukija kuiona Maongezi yapo

NB: Dalali yangu ni mwezi mmoja
Karibuni sana

Mob:+255 718 295 182
--------------------------------
Bango
 
Sio kila mtu anapajua Kibada, sema basi ni umbali gani kutoka Ferry au daraja la kulipia nk nk
 
Sio kila mtu anapajua Kibada, sema basi ni umbali gani kutoka Ferry au daraja la kulipia nk nk

Yaan wakati mwingine ukisoma baadhi ya comments ndo unapata picha kuwa watu hamko makini katika kusoma vitu. Ukisoma vzr amesema "ipo Kigamboni Kibada km 3.5 toka Ferry". Lakini wewe unataka aseme ni Km ngapi kutoka Ferry, sasa hapo mwenye tatizo ni wewe kwa kusoma unakimbia kimbia au ni yeye??
 
Si kweli,Kibada-Ferry ni takribam km 10.
Madalali mna raha yaani mteja akijichanganya tu unapiga dola 700 yako kiulaini kabisa[emoji1]

Km 3.5 toka ferry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…