Nyumba inapangishwa kigamboni kwa sh. 300,000 karibu na petrosheni eneo la kwa msomali. Ina vyumba viwili vyote self contained, sebule, dinning room, choo Cha nje, jiko, umeme, maji, fensi pamoja na eneo la parking. Nyuma haijaisha hivyo nategemea hela ya pango niweze kumalizia ujenzi.
Mawasiliano 0754433841
Mawasiliano 0754433841