Nyumba haijaisha hivyo nategemea hela ya pango niweze kumalizia ujenzi.View attachment 1642902
Wakati unamalizia ujenzi, mpangaji atakuwa anaishi wapi. Na miezi hiyo utaiifidiaje.
Picha tunaruhusiwa kuweka?
Picha ya hiyo nyumba ili mtu afanye calculationSidhani Kila mpangaji lazima alipie pale tu anapotaka kuingia kwenye nyumba husika! wapo wanaolipia kabla. Na kwa kawaida siwezi kumhesabia mtu wakati hajaanza kuishi kwenye nyumba
Mkuu 380k unakula?Nyumba inapangishwa kigamboni kwa sh. 300,000 karibu na petrosheni eneo la kwa msomali. Ina vyumba viwili vyote self contained, sebule, dinning room, choo Cha nje, jiko, umeme, maji, fensi pamoja na eneo la parking. Nyuma haijaisha hivyo nategemea hela ya pango niweze kumalizia ujenzi.
Mawasiliano 0754433841
View attachment 1642902
IiHuo ni umasikini yani usubiri hela ya mpangaji ndio umalizie nyumba??
Asante nahitaji 300,000 mkuu,basi.Mkuu 380k unakula?
Picha ya hiyo nyumba ili mtu afanye calculation
Wee kweli maskini jeuri...unakataa 380,000Asante nahitaji 300,000 mkuu,basi.
Sioni sababu ya kuwa kigeugeu...nasimamia kile nilichotamkaWee kweli maskini jeuri...unakataa 380,000
Picha ya hiyo nyumba ili mtu afanye calculation
Ndio kwako unasemajeKodi ni laki tatu kwa mwaka?
5 tena!Ndio kwako unasemaje
Sio Kila mtu anaujuzi wa kupiga picha ndio maana kuna photographer Kama mjuzi wa hilo ila nami nimejaribu kupiga kwa kiwango changu.asante babaapicha zenyewe umepiga kama nyumba unaiogopa
Karibu Kama umependekaza5 tena!