nipe namba ya whatsapp nikutumie au nitext 0785068996Laki 1??Nyumba? Kwa nn huweki picha mkuu?
PICHA NIMESHAWEKA WAKUUkanuni za kupost tangazo huzijui unapaswa uweke na picha
PICHA NIMESHAWEKA WAKUU
NDIO BAJAJ 500, NDIO MWENYE NYUMBA YUPO, KUANZIA UWANJANI NI DAKIKA 10Unapanda bajaji?
Kuanzia uwanjani pale ni dakika ngapi
Kuna makazi ya mwenye nyumba hapo?
Kuna mtu anatafuta ya hivyo nijibu nikuunganishe
NDIO BAJAJ 500, NDIO MWENYE NYUMBA YUPO, KUANZIA UWANJANI NI DAKIKA 10
Mwenye nyumba akiwa anaishi hpo hpo haina tofauti na maisha ya boarding school. Nyieee hamjafagia, nyiee zoeni hiki kifusi, nyie hawa wageni nani kawaleta.Obvious ni maeneo ya darajani mpaka kwa kichwa,
Ngoja nimwambie akiridhika atakuchek watsap
Japo hahitaji nyumba yenye mwenyewe hapo hapo
Mwenye nyumba akiwa anaishi hpo hpo haina tofauti na maisha ya boarding school. Nyieee hamjafagia, nyiee zoeni hiki kifusi, nyie hawa wageni nani kawaleta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliringa kivipi mkuu, nyumba zipo tu! namba zangu zipo, labda hakunichekUliringa kuna mtu alikua anataka nyumba ya kawaida kimara mpaka suka
kupanga kwenye nyumba ambayo mwenyewe anakaa hapo hapo ni upuuzi,unakosa amani hauwi huru,hata ukivusha kodi mwezi.mmoja tu jinsi ya kumkwepa unashindwaObvious ni maeneo ya darajani mpaka kwa kichwa,
Ngoja nimwambie akiridhika atakuchek watsap
Japo hahitaji nyumba yenye mwenyewe hapo hapo