kingkong shoulder
Member
- Sep 18, 2020
- 55
- 40
ipo ya laki thelathini mkuu chumba sebule iko poa tulaki moja na nusu mwezi mmoja mmmoja chukua nihamie
Mkuu usinidalalie hivyo mi nataka hiyoipo ya laki thelathini mkuu chumba sebule iko poa tu
Weka picha na hiyo tuione.ipo ya laki thelathini mkuu chumba sebule iko poa tu
mkuu hiyo itakuwa ngumu kupata, kwa bei hiyoMkuu usinidalalie hivyo mi nataka hiyo