House4Rent Nyumba inapangishwa Kisasa Dodoma

House4Rent Nyumba inapangishwa Kisasa Dodoma

Joined
Sep 16, 2020
Posts
31
Reaction score
17
Ina vyumba 3, umeme na maji yapo.
Ipo ndani ya fensi.

Kodi. Laki sita kwa mwezi na inalipiwa kwa mwaka mzima.

Kodi ya udalali: Laki sita.

Site visit, 10000.

Mawasiliano:

0762967368(WhatsApp)/0655325457

IMG-20210429-WA0062.jpg


IMG-20210429-WA0061.jpg


IMG-20210429-WA0059.jpg
 
Mbeya, Mwambene. Nyumba ya vyumba vitatu, kimoja master, kuna choo cha nje na cha ndani kwa viwili visivyo master, sebule, jiko, store, fensi na kulikua na mti wa maparachichi yanadondoka tu pale kodi kwa mwezi ilikua 100,000. Serikali kuhamishiwa Dom kumeipimp Dom.
 
Juzi kuna mtu alisema kapoteza 6.4M kwenye daladala kuna jamaa akapiga hesabu zake za kuonyesha ile pesa inajenga chumba na sebule na kubaki.

Kwa kodi ya hii nyumba kwa mwaka + pesa ya dalali maana yake unajenga hiyo chumba na sebule na usafiri unanunua.
 
Imezidi saana lakimbili tu,tena iyo lakimbil kwambinde.
 
Dodoma laki sita duh kweli wagogo mtamkumbuka shetani Magufuli. Ila mjindae kurudi ombaomba.
 
Back
Top Bottom