DULAIKI COMPANY
Member
- Sep 16, 2020
- 31
- 17
Ila Dodom bado sana mkuu, nyumba kali kama hyo ni bei bwerere kiasi hicho
Sio Kila mtu humu anaishi nyumba ya kupangaMkuu wewe umepanga cha sh ngapi??
Kaandika dhihaka.Mkuu wewe umepanga cha sh ngapi??
Panga mwenyewe humoIna vyumba 3, umeme na maji yapo.
Ipo ndani ya fensi.
Kodi. Laki sita kwa mwezi na inalipiwa kwa mwaka mzima.
Kodi ya udalali: Laki sita.
Site visit, 10000.
Mawasiliano:
0762967368(WhatsApp)/0655325457
View attachment 1767243
View attachment 1767244
View attachment 1767245
Nimepatazama Mara 10 Hapo Dalali Laki 6Kodi ya dalali laki 6???
Bei Ya Moto Sana HiyoBei kama imechangamka flani hivi
Naunga Mkono HojaImezidi saana lakimbili tu,tena iyo lakimbil kwambinde.