Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 630
- 1,113
Mkuu mbona sioni makochi wala vitanda humo? Au ulikuwa unatania?
Nyumba inapangishwa bila vitu vya ndani unakuja na vitu vyakoMkuu mbona sioni makochi wala vitanda humo? Au ulikuwa unatania?
Basi futa hapo ulipoandika full furnished