Hiyo bei umeipata wapi mbona hajaandikaBei yake fair sana mr. Dalali.....yote hiyo kwa laki na nusu tu?
Bei yake fair sana mr. Dalali.....yote hiyo kwa laki na nusu tu?
Kigamboni maisha marahisi kumbe .
Nyumba yote hiyo kwa laki moja na ishirini .duuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm nimewaelewa sana mmejitajia bei sababu dalali hajaweka bei yakeNyumba ya elfu 50 tu noma sanaaa...
hajaweka ili kila mtu aangalie kamba yake inaishia wapi aweke dau.......mambo mengine kujiongeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm nimewaelewa sana mmejitajia bei sababu dalali hajaweka bei yake
Mimi sijataja bei ila nimeuliza hiyo bei kaipata wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm nimewaelewa sana mmejitajia bei sababu dalali hajaweka bei yake
hajaweka ili kila mtu aangalie kamba yake inaishia wapi aweke dau.......mambo mengine kujiongeza
Jibu hilo hapo umeshajibiwa