House4Rent Nyumba inapangishwa Kisota Kigamboni

House4Rent Nyumba inapangishwa Kisota Kigamboni

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Posts
2,730
Reaction score
530
Nyumba ya vyumba 3 self contained inapangishwa Kisota-Kigamboni barabaraya Damian do Amsi.

Nyumba imeungana na nyingine 3 ambazo zinatumia geti moja, kila moja ina mita yake ya luku ila maji mna-share (mita moja nyumba mbili).

Ina master bedroom na vyumba viwili vya kulala, jiko, dinning na sitting. Vyumba vyote vina makabati ya nguo, kuna parking ya kutosha na imo ndani ya uzio. Ina usalama wa kutosha, mpangaji anaweza kusafiri na nyumba ikawa salama.

Barabaya kuingia na kutoka inapitika majira yote. Umbali kutoka Feri ni kilomita 7.5 (Kilometa 5.5 kutoka Feri hadi Maweni na kilometa 2 kutoka maweni hadi nyumbani ).

Kodi ni kwa miezi 3 hadi 6.

Mawasiliano 0719055711 (Ibrah)

IMG_20211106_114513_633.jpg
 
Back
Top Bottom