House4Rent Nyumba inapangishwa Makongo Juu, Dsm

House4Rent Nyumba inapangishwa Makongo Juu, Dsm

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
2016-10-11-PHOTO-00000090.jpg 2016-10-11-PHOTO-00000091.jpg 2016-10-11-PHOTO-00000092.jpg 2016-10-11-PHOTO-00000093.jpg 2016-10-11-PHOTO-00000105.jpg
Ipo Makongo juu. In chumba kimoja cha kulala chenye choo na bafu, sebure, sehemu ya kulia chakula, jiko, choo cha wageni na vibaraza mbele na nyuma. Nyumba imezungushiwa uzio. Kodi tshs 500,000 kwa mwezi. Kuiona tuwaseliane kupitia 0784225000. Kutazama nyumba nyingine tembelea www.kitomai.com
 
Hii ni nyumba maalum kwa mtu singo au mwenye familia ndogo
 
Kuhusu bei ukiipenda unatoa ofa yako
 
Itakuchukuwa mwaka mzima kupata mteja, Makongo juu, chumba kimoja, bei laki tano!!! Unless uwe unamaanisha 50,000/= watu hata kukupigia simu hawatotaka,
 
Nakaa Makongo juu but hiyo bei nahisi umerogwa ndg!! Chumba kimoja? Rudi ndotoni kwanza
 
ingekuwa kipindi cha jk ungepata hata laki tatu sijui kama utapata kipindi hiki cha awamu ya tano
 
Makongo juu kwwnye barabara mbovu vibaya mno? ila Tanzania mtu ili aweze kuweka bei anangalia shida alizonazo anaona hapa nikipata 500,000 x 6 shida fulani na fulani zitaisha kwaio bei ni 500,000 hii...
 
ingekuwa kipindi cha jk ungepata hata laki tatu sijui kama utapata kipindi hiki cha awamu yga tano
Laki tano ni bei ya NYUMBA ya familia...sasa hii ni ya MTU bachelor au yuko na mkewe tu.
Beki tatu unamueka wap?
Mtoto analala wapi?hujapata wageni??
 
Makongo juu kwwnye barabara mbovu vibaya mno? ila Tanzania mtu ili aweze kuweka bei anangalia shida alizonazo anaona hapa nikipata 500,000 x 6 shida fulani na fulani zitaisha kwaio bei ni 500,000 hii...
Hah hah...huyu kitomai shakutana nae na kunisaidia shughul mbili tatu....
Ila kwa hii namshangaa....Labda hii nyumba ni yake binafsi. Sio moja ya kazi zake
 
Huyu jamaa bei zake bhana duh
Laki5 Nyumba ya 3-4rooms mtu unapata na change inabaki ndo upange single room tena Makongo juu?
Hata kama udalali this is too much.
 
Back
Top Bottom