Laki tano ni bei ya NYUMBA ya familia...sasa hii ni ya MTU bachelor au yuko na mkewe tu.ingekuwa kipindi cha jk ungepata hata laki tatu sijui kama utapata kipindi hiki cha awamu yga tano
Hah hah...huyu kitomai shakutana nae na kunisaidia shughul mbili tatu....Makongo juu kwwnye barabara mbovu vibaya mno? ila Tanzania mtu ili aweze kuweka bei anangalia shida alizonazo anaona hapa nikipata 500,000 x 6 shida fulani na fulani zitaisha kwaio bei ni 500,000 hii...
..acha ku washwa washwa..si lazima wageni walale!Nyumba ina choo cha wageni lakini haina chumba cha wageni, maajabu