House4Rent Nyumba inapangishwa Makongo juu!!

komba05

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
367
Reaction score
291
Ina vyumba vitatu ikiwemo master bedroom! Maji yapo, Nyumba ipo ndani ya fence! Sliding windows, Full tiles, Kodi Laki sita kwa mwezi!!


 
Jamani jamani wenye nyumba muwe na huruma. Mishahara yetu yenyewe hii midogo alafu tumeishaichukulia mkopo, na bado mnataka tena kodi laki sita? Mbona haya maisha ya mjini yameshakuwa siyo... Mwisho wa siku utaanza utaratibu wa mtu analala kwenye chumba kimoja na mkewe, watoto na housegirl kwa jinsi rent zilivyokuwa sky rocketed...
 
MiA sita
Mmm mkuu hii zama si za dili za hapa na pale
Utatuuwa kwa plesha
 
Hapo kodi ya mwaka wanataka
 
Kaeni mbali na huyu jamaa, wanaomjua wameelewa.

Mkuu, hunifahamu sikufahamu! Acha tabia za kike, hivi unaandika kabisa hivyo ili iweje? Kipi nilichokufanya? Dah! Kwa style hii wabongo hatutoendelea! Yaani unataka kumuharibia mtu ambae hata humfahamu, kisa ni Nini? Ila ndio maisha yalivyo, we piga majungu mimi napiga kazi!
 
Labda hapo ndipo mlipotofautiana

Sasa mkuu mbona hapo sioni tatizo? Coz ameuliza kutokana na budget yake Nami nikamwambia nimpatie cha kulingana na bei yake! Sasa hapo tatizo liko wapi? Au ndio ujike shupa wake tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…