House4Rent NYumba Inapangishwa Mbezi Beach ( Shamo tower)

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,665
Nyumba inapatikana mbezi beach (nyuma ya shamo tower business park)
Nyumba ina vyumba vinne (viwili ni Master bedrooms)
Ina kabati za vyumbani.
Tiles, gypsums, slides windows plus perving blocks.
Nyumba inajitegemea (iko peke yake)
Kodi : 700k (per month)
For business : 0756 832833
 
Kodi unachukua ya miezi mingapi? Mkuu laki tano haiwezekani? Fanya 5 tufanye biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua yangu mkuu hata 400k kusingekua na shida, ila ni Mali ya watu hii ndio changamoto.
Ipo ya 550k ni nzuri kama hiyo but ipo njia ya massana hospital.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haipo mbali na barabarani? Ngoja michukue namba, ntakua Dar next jumanne so ntakucheki jumatano... nina ndugu yangu anahamia dar kikazi anahitaji nyumba, ndio nipi kwenye mchakato wa kumtafutia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…