Nyumba inapangishwa mbezi beach

Nyumba inapangishwa mbezi beach

Lady

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
282
Reaction score
62
Nyumba ipo Mbezi beach, Ni nyumba kubwa double storey, ina na servant quarter,
Ni Full furnished, ina standby generator, ina internet cables
Inafaa kwa Office cum residential au residential peke yake.
Ipo karibu na barabara.
Ipo wazi kuanzia january 2011.
Ina umeme na maji
Ina garden nzuri na parking
Ina electric fence
Maelezo mengine na picha utapata kwenye attachment hapo.
Rent in Dola 3500 per month.
Ukitafuta mteja au kama ni wewe utapata commission.
 

Attachments

Wadau vipi, mbona kimya!
 
Wadau vipi, mbona kimya!

Kwa bei hio kwa mwezi x 12 in advance ni rahisi sana kuona ni kwanini hakuna mtu aliyejibu tangazo lako!!
Kila na heri anyway!!
 
Hapa JF ni kwa wananchi wa kawaida. Peleka tangazo lako kwa Mafisadi Pfu yako
 
Back
Top Bottom