Unachukua kodi ya miezi mingapi?Ndio bei za mjomba hizi mkuu.
Hii bado ipo mkuu? Na kodi mnachukua ya miezi mingapi?Nyumba inapatikana mbezi juu, kituo cha makonde.
Nyumba ina vyumba vinne (ikiwemo viwili master bedroom)
Vyumba vyote vina kabati za kuhifadhi nguo.
Nyumba inajitegemea kwenye kila kitu. (Maji+umeme)
Parking nzuri na sehemu ya garage.
Tiles, gypsum na dirisha za shunter. (Vioo)
Full fenced na ulinzi upo.
Kodi : 600k (×6)
0756 832833View attachment 968519View attachment 968520View attachment 968521View attachment 968522View attachment 968525View attachment 968526View attachment 968527View attachment 968529