House4Rent Nyumba inapangishwa Mbezi beach

dalalimhenga

Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
27
Reaction score
6
Chumba Choo ndani (Masta)
Kodi kwa Mwezi ni Tshs 100,000
Mahali Mbezibeach
Mawasiliano 0742141467

 
Chumba Choo ndani ( Masta ), Sebule Na Jiko.
Kodi kwa Mwezi ni Tshs 280,000
Mahali Mbezibeach
Mawasiliano 074214146.

 
Chumba Choo ndani (Masta)
Kodi kwa Mwezi ni Tshs 200,000
Mahali Mbezibeach
Mawasiliano 0742141467
 
Vyumba viwili, Kimoja self (Masta), Sebule, Jiko Na Choo ndani.
Kodi kwa Mwezi ni Tshs 400,000
Mahali Mbezibeach Tangibovu
Mawasiliano 0742141467
 
Mkuu uwe unawaambia wahusika wanafanya usafi kabla hujapandisha picha kwenye mitandao. Itakusaidia kuvutia wateja. Wengine tukiona mazingira machafu tunachefukwa na kukata stimu!
 
Mkuu uwe unawaambia wahusika wanafanya usafi kabla hujapandisha picha kwenye mitandao. Itakusaidia kuvutia wateja. Wengine tukiona mazingira machafu tunachefukwa na kukata stimu!
Ushauri wako unazingatiwa, karibu tena
 
Nyumba Vyumba vinne, Kimoja self (Masta), Sebule, Jiko, Stoo Na Choo na bafu ndani.
Kodi kwa Mwezi ni Tshs 500,000, Maelewano yapo.
Mahali Mbezibeach Tangibovu
Ipo ndani ya fensi, parking ipo, maji yapo Dawasa.
Mawasiliano: Call/WhatsApp 0742141467


0742141467

 
Chumba Choo ndani ( Masta ), Sebule Na Jiko.
Kodi kwa Mwezi ni Tshs 200,000
Mahali Mbezibeach, bagamoyo road.

Umeme Submita yake, maji Dawasa, karibu Na kituo cha daladala tangibovu

Mawasiliano 074214146.
 
Mkuu nyumba ya vyumba viwili sebule na jiko.
Parking kwa bajeti ya 300k nitapata mbezi beach?!
Hii ipo karibu Na kituo cha daladala, dakika moja upo kituoni.
Inataka laki2.5 ukilipia miezi 6 au 200k ukilipia Mwaka mmoja.

Nyumba inafanyiwa ukarabati, ina vyumba vitatu , Sebule, jiko, Choo Na bafu ndani.
Ina fensi Na geti peke yake, maji ya dawasa, umeme luku.

 
Mkuu nahitaji chumba self maeneo ya mwenge kushuka mpaka bamaga
 
Chumba Choo ndani ( Masta ), Sebule Na Jiko.
Kodi kwa Mwezi ni Tshs 200,000
Mahali Mbezibeach, goba rood.

Umeme Submita yake, maji Dawasa, karibu Na kituo cha daladala ( dakika 0 kutoka kituoni )





Mawasiliano 074214146.





 
Mahali - Mbezibeach Tangibovu
Kodi - Tshs 200,000
Maelezo Zaidi - 0742141467


Chumba masta, Sebule Tu
Umeme luku yake, Maji ya dawasa mita yake, Fensi, Parking, Karibu Na kituo cha daladala.


 
Nyumba vyumba viwili ( kimojawapo self) Sebule, Jiko Na Choo cha public kwa nje.
Ndani ya fensi, parking Ipo, luku yake

Kodi - Tshs 250,000 kwa mwezi
Mahali - Mbezibeach kwa Sanya, Barabara ya Goba.
Maelezo zaidi - 0742141467




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…