Bei ni kubwa halafu mbali sana huko. Mafuta mpk Posta au kkoo hapo ni 20,000 Kama unatumia vitz. Ukizidisha mara 30 inakuwa laki 6. Sasa si Bora uchukue apartment ya laki 5 Upanga unaenda Posta au kkoo kwa mguu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko mbali sana boss ,200,000/= labda tulete mteja chapu chapu.Nyumba inapangishwa ipo Kwembe, Mbezi mwisho upande wa ofisi mpya ya manispaa ya Ubungo (Luguruni)
- Ina 2 bedrooms (chumba kimoja master)
- Store, sebule na jiko la kisasa.
- Imezungushiwa ukuta, parking ya kutosha.
- Kilomita 1 toka main road (Morogoro Road), maji ya Dawasa yapo.
- Kodi kwa mwezi laki 3, mazungumzo yapo.
- Mawasiliano; 0653 568099, 0755 089383 namba za mmiliki siyo dalali.
Msiopajua Luguruni ni vituo takribani viwili toka inapojengwa Stendi mpya ya ma bus ya mikoani Mbezi Louis au stendi ya daladala ya Mbezi Mwisho.
Karibuni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko mbali sana boss ,200,000/= labda tulete mteja chapu chapu.
Sio Kila Anaeishi dar anafanyia shughuri zake posta&k'kooBei ni kubwa halafu mbali sana huko. Mafuta mpk Posta au kkoo hapo ni 20,000 Kama unatumia vitz. Ukizidisha mara 30 inakuwa laki 6. Sasa si Bora uchukue apartment ya laki 5 Upanga unaenda Posta au kkoo kwa mguu.
Sent using Jamii Forums mobile app