Nyumba self contained four bedrooms inapangishwa morogoro kihonda kwa chambo jirani kanisa na stendi kuu ya mwendokasi wa SGR. Umeme, fence, maji vipo. Nyumba ina tiles gipsum and aluminum windows. Kwa mawasiliano 0785068996. Bei 300,000 kwa mwezi na kodi ilipwe kuanzia miezi mitatu. Tank la kuhifadhi maji lita 50,000 lipo...