Goldenmjema
Member
- Mar 26, 2023
- 14
- 8
Kutoka Mwandege mpaka Kariakoo Nauli Bei Ngapi?
Nyumba ina vyumba vinne,kimoja master,sitting room,dinning room, jiko,public toilet ndani eneo kuubwa unaweza kufuga.
Kodi laki mbili na nusu kwa mwezi,umbali wa dakika 5paka 8 kutoka main road kwa kutembea.
Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.0767600250
View attachment 2681539
Kutoka kariakoo paka mwandege unapanda bus moja la gerezani mwandege or gerezani kisemvule nauli 850.tandika/temeke nauli 600,kigamboni 700.karibuniKutoka Mwandege mpaka Kariakoo Nauli Bei Ngapi?