Nyumba Inapangishwa Mwenge dar es salaam

Mbona nyumba inaonekana kama nyumba wanayoishi wachawi
 
Yaani nimekwambia uipangishe kwa 100000 per/m we unasema laki nne
 
laki nne kwa nyumba ya vyumba vitatu tena mwenge ni bei nzuri sana tatizo ni hiyo kodi ya mwaka mkuu
 
hapo si mwenge vijijini. chini ya tra , karibu na kkkt kanisani,
 
wakati huu wa mvua ndio mzuri kutafuta nyumba. Nyingine inapangishwa Mikocheni jirani na Mayfair.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…