Wakuu mbona hiyo bei ni kawaida sana?bongo kwa sasa hv nyumba hazishikiki,nenda sinza huko uone bei,nyumba imebana kchz utasikia 1m per month,sio kama napiga debe,ila naelezea reality,
Pia mzee nakuona reflection yako unachukua picha,Dar joto Kali manake umevua shati kabisa!
Kila la heri mkuu.