- soma vizuri mkuu Anselm.
- self 1
- 2bedrooms
- jiko
- stoo
- dining
- choo
its our house sasa dalali wa nini tena ,njoo upaone kuna marekebisho kidogo tu,ila its not fenced pia ukitoa hela ya mwaka tunakuwekea na uzio mara moja.NYUMBA NI MPYA HAIJAWAHI KALIWA NA MTU YOYOTE YULE,UMEME NI WA LUKU ni yako mwenyewe NA HAMNA DENI KWANI HAPAJAKALIWA NA MTU YYTE,THEN KODI NI TUTAELEWANA .maji yapo. @AnselmOkay ulimaanisha 1 Master bedroom + 2 bedrooms? Okay...vp kuhusu umeme,ina luku yake ya kujitegemea? sehemu ya ku'park magari ni fenced(ndani ya fensi) kama bei inapungua inaweza kunihamasisha kukatisha mkataba wangu ninapokaa sasa hv,naweza kuja kuiona? si haina dalali sitegemei ku'chargiwa zile fees za kidalali Mkuu...